Sunday, 5 October 2014

HAPA VIPI

UKITAKA KUJUA MSICHANA WA CHUO HAKUTAKI HAYA NDO MAJIBU YAO.

1. Baby tutaongea baadaenaingia lecture
2. Jamani honey sikuweza ... kupokea simu nilikuwa kwenye kelele
3. Sweetie sina credit nikashindwa kukujibu
4. Tupo discussion jamani ntakupigia baadae
5. Simu haikuwa na chaji jamani (HAPO AMEKUZIMIA SIMU)
6. Nipo na kaka jamani usipige simu
7. Nina presentation kesho honey hatuwezi kuonana
8. Roommate wangu ana mgeni USIJE leo
9. Nipo library dia ntakutafuta baadaye (kwa sauti ya chini)

SHTUKA MAPEMA HUNA CHAKO PALE, KAMA UNA KWINGINE JISONGEZE USISUBIRI AKWAMBIE KUWA HAKUTAKI!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment